sw_tn/gen/50/24.md

20 lines
585 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# atawajilia
Katika 50:24 neno "atawajilia" lina maana ya ndugu wa Yusufu, lakini pia lina maana ya uzao wake.
# kuwaongoza kutoka katika nchi hii na kuwapeleka katika nchi
Ilikuwa kawaida kutumia msemo wa "kupanda" kuzungumzia safari ya kutoka Misri kwenda Kaanani. "kuwaleta kutoka nchi hii na kuwapeleka katika nchi"
# Wakampaka dawa
"kumpaka dawa" ni njia maalumu ya kuhifadhi maiti kabla haujazikwa.
# akawekwa
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "walimweka"
# katika jeneza
"ndani ya sanduku" au "katika kasha". Hili ni sanduku ambalo mtu aliyekufa kuwekwa ndani.