# atawajilia Katika 50:24 neno "atawajilia" lina maana ya ndugu wa Yusufu, lakini pia lina maana ya uzao wake. # kuwaongoza kutoka katika nchi hii na kuwapeleka katika nchi Ilikuwa kawaida kutumia msemo wa "kupanda" kuzungumzia safari ya kutoka Misri kwenda Kaanani. "kuwaleta kutoka nchi hii na kuwapeleka katika nchi" # Wakampaka dawa "kumpaka dawa" ni njia maalumu ya kuhifadhi maiti kabla haujazikwa. # akawekwa Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "walimweka" # katika jeneza "ndani ya sanduku" au "katika kasha". Hili ni sanduku ambalo mtu aliyekufa kuwekwa ndani.