sw_tn/gen/50/18.md

28 lines
643 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kuinamisha nyuso zao mbele zake
Walilala chini kifudifudi kuelekea ardhini. Hii ni ishara ya unyenyekevu na heshima kwa Yusufu.
# Je mimi ni badala ya Mungu?
Yusufu anatumia swali kuwatia moyo ndugu zake. "Mimi sipo katika nafasi ya Mungu" au "Mimi sio Mungu"
# mlikusudia kunidhuru
"mlikusudia kutenda uovu dhidi yangu"
# Mungu alikusudia mema
"Mungu alikusudia kwa wema"
# Hivyo basi msiogope
"Kwa hiyo msiniogope"
# Nitawahudumia ninyi na watoto wenu wadogo
"Nitahakikisha nyie pamoja na watoto wenu mnapata chakula cha kutosha"
# aliwatia moyo na kuongea na mioyo yao kwa upole.
"Aliwatia moyo kwa kuzungumza nao kwa upole"