sw_tn/gen/49/28.md

36 lines
889 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Haya ni makabila kumi na mbili ya Israeli
"Haya" ina maana ya wana wa Yakobo waliotajwa katika 49:1-27. Kila mwana alikuwa kiongozi wa kabila lake mwenyewe.
# alipowabariki
Hapa neno "alipowabariki" lina maana ya kuongelea baraka rasmi.
# kila mmoja kwa baraka iliyomstahili
"Akawapa kila mtoto baraka inayomstahili"
# akawaelekeza
"akawaamuru"
# Ninakaribia kwenda kwa watu wangu
Hii ni njia ya upole ya kusema ya kwamba amekaribia kufa. "Nimekaribia kufa"
# kwenda kwa watu wangu
Yakobo ana maanisha pale ambapo nafsi yake utakwenda atakapokufa. Anategemea kuwaunga Abrahamu na Isaka katika maisha ya baadae.
# Efroni Mhiti
Hili ni jina la mwanamume. "Mhiti" ina maana ya "uzao wa Hethi".
# Makpela
Makpela lilikuwa jina la eneo au mahali.
# Mamre
Hili lilikuwa jina lingine la mji wa Hebroni. Inawezekana lilitajwa baada ya Mamre, rafiki wa Abrahamu aliyeishi kule.