sw_tn/gen/49/26.md

20 lines
511 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yakobo anaendelea kumbariki Yusufu na uzao wake.
# milima ya zamani
Maana ya lugha asili haipo wazi. Baadhi ya tafsiri za Biblia zina "mababu zangu" badala ya "milima ya zamani"
# Na viwe katika kichwa cha Yusufu
Hapa "viwe" ina maana ya baraka za baba yake.
# juu ya taji ya kifalme kichwani pa ndugu zake
Yakobo anatamani kwa baraka hizi kupitishwa hata kwa wale wazawa muhimu. "juu ya kichwa cha mzawa muhimu wa Yusufu"
# mwana wa mfalme kwa ndugu zake
"mtu muhimu wa ndugu zake"