# Maelezo ya Jumla Yakobo anaendelea kumbariki Yusufu na uzao wake. # milima ya zamani Maana ya lugha asili haipo wazi. Baadhi ya tafsiri za Biblia zina "mababu zangu" badala ya "milima ya zamani" # Na viwe katika kichwa cha Yusufu Hapa "viwe" ina maana ya baraka za baba yake. # juu ya taji ya kifalme kichwani pa ndugu zake Yakobo anatamani kwa baraka hizi kupitishwa hata kwa wale wazawa muhimu. "juu ya kichwa cha mzawa muhimu wa Yusufu" # mwana wa mfalme kwa ndugu zake "mtu muhimu wa ndugu zake"