sw_tn/gen/49/09.md

16 lines
495 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yuda ni mwana simba
Yakobo anamzungumzia Yuda kana kwamba alikuwa mtoto wa simba. Yakobo anasisitiza nguvu ya Yuda. "Yuda ni kama mwana wa simba"
# Mwanangu, umetoka katika mawindo yako
"Wewe, mwanangu, umerudi kutoka kula windo lako"
# kama simba jike
Yakobo anamlinganisha Yuda na simba jike. Simba jike ni mwindaji na mlinzi wa msingi wa watoto wake.
# Je nani atakayejaribu kumwamsha?
Yakobo anatumia swali kusisitiza jinsi Yuda anavyotisha watu wengine. "Hakuna atakaye kumuamsha"