sw_tn/gen/48/05.md

20 lines
685 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# sasa
Hii haimaanishi "katika kipindi hiki" lakini inatumika kuvuta nadhari kwa lengo muhimu linalofuata.
# Efrahimu na Manase watakuwa wangu
Efrahimu na Manase kila mmoja atapokea sehemu ya nchi kama ndugu zake Yusufu.
# watahesabiwa katika majina ya ndugu zao katika urithi wao
Maana zinawezekana kuwa 1) watoto wale wengine wa Yusufu wangerithi nchi kama sehemu ya makabila ya Efrahimu na Manase au 2) Yusufu atatengewa nchi na Efraimu na Manase na watoto wengine wa Yusufu watarithi nchi hiyo. "na kwa urithi wao, utawaorodhesha chini ya majina ya ndugu zao"
# Efrathi
Hili ni jina lingine la mji wa Bethlehemu.
# ndio, Bethlehemu
Mwandishi huyu anatoa taarifa ya nyuma.