# sasa Hii haimaanishi "katika kipindi hiki" lakini inatumika kuvuta nadhari kwa lengo muhimu linalofuata. # Efrahimu na Manase watakuwa wangu Efrahimu na Manase kila mmoja atapokea sehemu ya nchi kama ndugu zake Yusufu. # watahesabiwa katika majina ya ndugu zao katika urithi wao Maana zinawezekana kuwa 1) watoto wale wengine wa Yusufu wangerithi nchi kama sehemu ya makabila ya Efrahimu na Manase au 2) Yusufu atatengewa nchi na Efraimu na Manase na watoto wengine wa Yusufu watarithi nchi hiyo. "na kwa urithi wao, utawaorodhesha chini ya majina ya ndugu zao" # Efrathi Hili ni jina lingine la mji wa Bethlehemu. # ndio, Bethlehemu Mwandishi huyu anatoa taarifa ya nyuma.