sw_tn/gen/47/25.md

20 lines
529 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Na tupate kibali machoni pako
Hapa "macho" ina maana ya fikra na mawazo. "Na ufurahishwe na sisi"
# tupate kibali
Hii ina maana ya kwamba mtu anakubalika kwa mtu mwingine.
# katika nchi ya Misri
"katika nchi ya Misri" au "katika nchi yote ya Misri"
# hata leo
Hii ina maana katika kipindi ambacho mwandishi alikuwa akiandika haya.
# moja ya tano
2021-09-10 19:21:44 +00:00
tano- Neno la "tano" ni sehemu. "Wakati wa mavuno utagawanyisha mazao katika sehemu tano. Utatoa sehemu moja kwa Farao kwa ajili ya malipo na sehemu nne ni kwa ajili yenu"