# Na tupate kibali machoni pako Hapa "macho" ina maana ya fikra na mawazo. "Na ufurahishwe na sisi" # tupate kibali Hii ina maana ya kwamba mtu anakubalika kwa mtu mwingine. # katika nchi ya Misri "katika nchi ya Misri" au "katika nchi yote ya Misri" # hata leo Hii ina maana katika kipindi ambacho mwandishi alikuwa akiandika haya. # moja ya tano tano- Neno la "tano" ni sehemu. "Wakati wa mavuno utagawanyisha mazao katika sehemu tano. Utatoa sehemu moja kwa Farao kwa ajili ya malipo na sehemu nne ni kwa ajili yenu"