sw_tn/gen/45/12.md

16 lines
493 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# macho yenu yanaona, na macho ya Benjamini ndugu yangu
Neno "macho" ina maana ya mtu mzima. "Nyie wote na Benyamini mnaweza kuona"
# kwamba ni kinywa changu kinachoongea nanyi
Neno "kinywa" ina maana ya mtu mzima. "ya kwamba mimi, Yusufu, nazungumza na nyinyi"
# juu ya heshima yangu yote huku Misri
"jinsi watu wa Misri wanavyoniheshimu sana"
# baba yangu huku chini
Ilikuwa kawaida kutumia msemo wa "shuka" kuzungumzia safari ya kutoka Kaanani kwenda Misri. "baba yangu huku kwangu"