# macho yenu yanaona, na macho ya Benjamini ndugu yangu Neno "macho" ina maana ya mtu mzima. "Nyie wote na Benyamini mnaweza kuona" # kwamba ni kinywa changu kinachoongea nanyi Neno "kinywa" ina maana ya mtu mzima. "ya kwamba mimi, Yusufu, nazungumza na nyinyi" # juu ya heshima yangu yote huku Misri "jinsi watu wa Misri wanavyoniheshimu sana" # baba yangu huku chini Ilikuwa kawaida kutumia msemo wa "shuka" kuzungumzia safari ya kutoka Kaanani kwenda Misri. "baba yangu huku kwangu"