sw_tn/gen/44/14.md

12 lines
331 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Bado alikuwepo pale
"Yusufu alikuwa bado yupo pale"
# wakainama mbele zake
"wakaanguka mbele yake". Hii ni ishara ya ndugu kutaka bwana awe na huruma kwao.
# Je hamjui kwamba mtu kama mimi anafanya uaguzi
Yusufu anatumia swali kukaripia ndugu zake. "Hakika mnajua ya kwamba mtu kama mimi naweza kujifunza mambo kwa uaguzi!"