# Bado alikuwepo pale "Yusufu alikuwa bado yupo pale" # wakainama mbele zake "wakaanguka mbele yake". Hii ni ishara ya ndugu kutaka bwana awe na huruma kwao. # Je hamjui kwamba mtu kama mimi anafanya uaguzi Yusufu anatumia swali kukaripia ndugu zake. "Hakika mnajua ya kwamba mtu kama mimi naweza kujifunza mambo kwa uaguzi!"