sw_tn/gen/42/18.md

32 lines
1.0 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Katika siku ya tatu
Neno "tatu" ni mpangilio wa namba."baada ya siku ya pili"
# Fanyeni hivi nanyi mtaishi
Taarifa inayotambulika inaweza kuwekwa wazi. "Kama utafanya kile nilichosema, nitakuruhusu uishi"
# ninamcha Mungu
Hii ina maana ya kumheshimu Mungu kwa dhati na kuonyesha heshima hiyo kwa kumtii yeye.
# mmoja wenu atazuiliwa hapa gerezani
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "muache mmoja wa ndugu zako hapa gerezani"
# lakini ninyi nendeni
Hapa "ninyi" ni wingi na ina maana ya ndugu wote ambao hawatakaa gerezani. "lakini ninyi mliosalia"
# chukueni nafaka kwa ajili ya nyumba zenu
Hapa "nyumba" ina maana ya familia. "beba nafaka hadi nyumbani kusaidia familia zenu wakati wa njaa hii"
# ili kwamba maneno yenu yathibitishwe
Hapa "maneno" yana maana ya kile kilichosemwa. Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "ili niweze kujua kile mnachosema ni kweli"
# nanyi hamtakufa
Hii inaashiria ya kwamba Yusufu angewafanya maaskari wake kuwaua ndugu iwapo angetambua ya kwamba walikuwa wapelelezi.