sw_tn/gen/42/07.md

12 lines
346 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yusufu akawaona ndugu zake na kuwatambua
"Yusufu alipowaona ndugu zake, aliwatambua"
# alijibadili kwao
"alijifanya kana kwamba hakuwa kaka yao" au "hakuwafahamisha ya kwamba alikuwa kaka yao"
# Mmetoka wapi?
Hili halikuwa swali la balagha ingawa Yusufu alijua jibu. Ilikuwa sehemu ya maamuzi yake kuficha utambulisho wake kwa ndugu zake.