sw_tn/gen/42/01.md

20 lines
598 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Basi Yakobo akafahamu
Neno "basi" inaweka alama ya sehemu mpya ya simulizi.
# Kwa nini mnatazamana?
Yakobo anatumia swali kukaripia watoto wake kwa kutofanya kitu chochote kuhusu nafaka. "Msikae hapo tu!"
# Shukeni huko ... chini
Ilikuwa kawaida kuzungumza kuhusu kwenda kutoka Kaanani mpaka Misri kama kwenda "chini"
# kutoka Misri
Hapa "Misri" ina maana ya watu kuuza nafaka. "kutoka kwa wale wauzao nafaka ndani ya Misri"
# Benjamini, ndugu wa Yusufu, Yakobo hakumtuma
Benyamini na Yusufu walikuwa na baba mmoja na mama. Yakobo hakutaka kuthubutu kumtuma mwanawe wa mwisho wa Raheli.