sw_tn/gen/41/46.md

20 lines
380 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# umri wa miaka thelathini
"umri wa miaka 30"
# aliposimama mbele ya Farao
Hapa "aliposimama" ina maana ya Yusufu kuanza kumtumikia Farao. "alipoanza kumtumikia Farao"
# kwenda katika nchi yote ya Misri
Yusufu anakagua nchi anapoandaa kutekeleza mipango yake.
# Katika miaka saba ya shibe
"Katika miaka mizuri saba"
# nchi ilipozaa kwa wingi
"nchi ilizaa mavuno makubwa"