# umri wa miaka thelathini "umri wa miaka 30" # aliposimama mbele ya Farao Hapa "aliposimama" ina maana ya Yusufu kuanza kumtumikia Farao. "alipoanza kumtumikia Farao" # kwenda katika nchi yote ya Misri Yusufu anakagua nchi anapoandaa kutekeleza mipango yake. # Katika miaka saba ya shibe "Katika miaka mizuri saba" # nchi ilipozaa kwa wingi "nchi ilizaa mavuno makubwa"