sw_tn/gen/40/12.md

24 lines
513 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Tafsiri yake ni hii
"Hivi ndivyo ndoto inavyomaanisha"
# Yale matawi matatu ni siku tatu
"Matawi matatu yanawakilisha siku tatu"
# Ndani ya siku tatu
"Katika siku tatu zaidi"
# atakiinua kichwa chako
Hapa Yusufu anaongea na Farao kumuachia mnyweshaji kutoka gerezani kana kwamba Farao alisababisha yeye kuinua kichwa chake. "atakuachia kutoka gerezani"
# kukurudisha katika nafasi yako
"atakurudishia kazi yako"
# kama ulivyokuwa
Maneno ambayo hayapo yanaweza kuongezwa. "kama ulivyofanya ulipokuwa"