# Tafsiri yake ni hii "Hivi ndivyo ndoto inavyomaanisha" # Yale matawi matatu ni siku tatu "Matawi matatu yanawakilisha siku tatu" # Ndani ya siku tatu "Katika siku tatu zaidi" # atakiinua kichwa chako Hapa Yusufu anaongea na Farao kumuachia mnyweshaji kutoka gerezani kana kwamba Farao alisababisha yeye kuinua kichwa chake. "atakuachia kutoka gerezani" # kukurudisha katika nafasi yako "atakurudishia kazi yako" # kama ulivyokuwa Maneno ambayo hayapo yanaweza kuongezwa. "kama ulivyofanya ulipokuwa"