sw_tn/gen/40/06.md

24 lines
725 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yusufu akaja kwao
"Yusufu akaja kwa mnyweshaji na mwokaji"
# Tazama, walikuwa na uzuni
Neno "tazama" hapa linaonyesha ya kwamba Yusufu alishangazwa na kile alichokiona. "Alishangazwa kuona ya kuwa walikuwa na huzuni"
# maafsa wa Farao waliokuwa pamoja naye
Hii ina maana ya mnyweshaji na mwokaji"
# kifungoni katika nyumba ya bwana wake
"Gerezani katika nyumba ya bwana wake". "Bwana wake" ina maana ya bwana wa Yusufu, kapteni wa walinzi.
# Je tafsiri haitoki kwa Mungu?
Yusufu anatumia swali kuonyesha msisitizo. Hii inaweza kuandikwa kama kauli. "tafsiri ni za Mungu!" au "Ni Mungu ambaye anaweza kusema maana ya ndoto!"
# Niambieni, tafadhari
Yusufu anawaomba wamumbie ndoto zao. "Tafadhali niambieni ndoto"