sw_tn/gen/40/01.md

32 lines
845 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ikawa
Msemo huu unatumika hapa kuweka alama ya tukio jipya la simulizi.
# mnyweshaji
Huyu ni mtu ambaye huleta vinywaji kwa mfalme.
# mwokaji wa mfalime
Huyu ni mtu ambaye alitengeneza chakula cha mfalme.
# walimkosa bwana wao
"walimkwaza bwana wao"
# maafsa wawili, mkuu wa wanyweshaji na mkuu wa waokaji
""mnyweshaji kiongozi na mwokaji kiongozi"
# Akawaweka katika lindo katika nyumba ya kapteni wa walinzi
"Akawaweka katika gereza liliokuwa katika nyumba ambayo ilisimamiwa na kapteni wa walinzi"
# Akawaweka
Mflame hakuwaweka gerezani lakini aliwaamuru wafungwe. "Akafanya wawekwe" au "Aliamuru walinzi wake kuwaweka"
# katika gereza lile Yusufu alimofungwa
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Hili lilikuwa gereza lile lile ambalo Yusufu alikuwemo" au "Hili lilikuwa gereza lile lile ambalo Potifa alimweka Yusufu"