sw_tn/gen/39/19.md

24 lines
564 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ikawa
"Na kwa hiyo". Msemo huu unatumika kuweka alama ya tukio jipya katika simulizi.
# bwana wake
"Bwana wake Yusufu". Hii ina maana ya Potifa. Taarifa hii inaweza kuwekwa wazi. "Bwana wake Yusufu, Potifa"
# aliposikia maelezo aliyoambiwa na mkewe
"alimsikiliza mke wake akimuelezea kwake". Neno "wake" na "kwake" hapa yana maana ya Potifa.
# alikasirika sana
"Potifa akawa na hasira sana"
# mahali walipowekwa wafungwa wa mfalme
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "mahali ambapo mfalme huweka wafungwa wake"
# Akawa pale
"Yusufu alikaa pale"