sw_tn/gen/39/16.md

24 lines
598 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# bwana wake
"Bwana wa Yusufu." Hii ina maana ya Potifa.
# Akamwambia maelelezo haya
"Alielezea namna hii"
# uliyemleta kwetu
Neno hili "kwetu" ina maana ya Potifa, mke wake, na inamaanisha nyumba yake yote.
# aliingia kunidhihaki
"alikuja ndani kunifanya mpumbavu". Hapa neno "dhihaki" ni tafisida ya "kumkamata na kulala naye". "alikuja nilipokuwepo na akajaribu kunilazimisha nilale naye"
# Ikawa
"Kisha". Mke wa Potifa anatumiamsemo huu kuweka alama ya tukio linalofuata katika habari anayomwambia kuhusu Yusufu kujaribu kulala naye.
# akakimbia nje
"alikimbia haraka nje ya nyumba"