sw_tn/gen/39/10.md

20 lines
511 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Alizungumza na Yusufu siku baada ya siku
Hii ina maana ya kwamba aliendelea kumuuliza kulala naye. Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. "Aliendelea kumuuliza Yusufu alale naye"
# kuwa naye
"kuwa karibu naye"
# Ikawa
"Na kwa hiyo". Msemo huu unatumika hapa kuweka alama ya sehemu mpya ya tukio katika simulizi.
# Hakuna mtu yeyote wa nyumbani
"hakuna mwanamume yeyote aliyefanya katika nyumba"
# akakimbia, na kutoka nje
"na akakimbia nje haraka" au "na kwa haraka akakimbia nje ya nyumba"