sw_tn/gen/38/06.md

12 lines
283 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Eri
Hili ni jina la mmoja wa watoto wa Yuda.
# alikuwa mwovu machoni pa Yahwe
Msemo "machoni pa" una maana ya yahwe kuona uovu wa Eri.. "alikuwa muovu na Yahwe akauona"
# Yahwe akamwua
Yahwe akamuua kwa sababu alikuwa muovu. Hii inaweza kuwekwa wazi. "Kwa hiyo Yahwe akamuua"