# Eri Hili ni jina la mmoja wa watoto wa Yuda. # alikuwa mwovu machoni pa Yahwe Msemo "machoni pa" una maana ya yahwe kuona uovu wa Eri.. "alikuwa muovu na Yahwe akauona" # Yahwe akamwua Yahwe akamuua kwa sababu alikuwa muovu. Hii inaweza kuwekwa wazi. "Kwa hiyo Yahwe akamuua"