sw_tn/gen/37/31.md

20 lines
332 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# vazi la Yusufu
Hii ina maana ya joho zuri ambalo baba yake alimtengenezea.
# damu
"damu ya mbuzi"
# wakalipeleka
"walileta joho lile"
# amemrarua
"amemla"
# Yusufu ameraruliwa katika vipande.
Yakobo anadhani ya kwamba mnyama pori amerarua mwili wa Yusufu vipande vipande. "hakika imemchana Yusufu katika vipande vipande"