# vazi la Yusufu Hii ina maana ya joho zuri ambalo baba yake alimtengenezea. # damu "damu ya mbuzi" # wakalipeleka "walileta joho lile" # amemrarua "amemla" # Yusufu ameraruliwa katika vipande. Yakobo anadhani ya kwamba mnyama pori amerarua mwili wa Yusufu vipande vipande. "hakika imemchana Yusufu katika vipande vipande"