sw_tn/gen/37/27.md

28 lines
631 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kwa Waishmaeli
"kwa wanamume hawa ambao ni vizazi vya Ishmaeli"
# tusiweke mikono yetu juu yake
Hii ina maana ya kutomdhuru au kumjeruhi. "msimuumize"
# ni ndugu yetu, nyama yetu
Neno la "nyama" ni lugha nyingine lenye maana ya ndugu. "ni ndugu wetu wa damu"
# ndugu zake wakamsikiliza
"Kaka zake na Yuda walimsikiliza" au "Kaka zake Yuda walikubaliana naye"
# Kimidiani ... Waishmaeli
Majina yote mawili yana maana ya kundi moja la wafanyabiashara ambao ndugu zake Yusufu walikutana nao.
# kwa vipande ishirini vya fedha
"kwa bei ya vipande 20 vya fedha"
# wakamchukua Yusufu mpaka Misri
"wakampeleka Yusufu Misri"