sw_tn/gen/36/17.md

20 lines
340 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Reueli ... Yeushi, Yalamu, Kora
Haya ni majina ya wana wa Esau.
# Nahathi, Zera, Shama, Miza
Haya ni majina ya wana wa Reueli.
# katika nchi ya Edomu
Hii ina maana ya kwamba waliishi katika nchi ya Edomu. "walioishi katika nchi ya Edomu"
# Basemathi ... Oholibama
Haya ni majina ya wake wa Esau.
# Ana
Hili ni jina la mwanamume.