# Reueli ... Yeushi, Yalamu, Kora Haya ni majina ya wana wa Esau. # Nahathi, Zera, Shama, Miza Haya ni majina ya wana wa Reueli. # katika nchi ya Edomu Hii ina maana ya kwamba waliishi katika nchi ya Edomu. "walioishi katika nchi ya Edomu" # Basemathi ... Oholibama Haya ni majina ya wake wa Esau. # Ana Hili ni jina la mwanamume.