sw_tn/gen/35/06.md

32 lines
678 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Luzu
Hili ni jina la mji.
# El Betheli
"Jina la El Betheli lina maana ya "Mungu wa Betheli"
# Mungu alikuwa amejifunua kwake
"pale Mungu alijifunua kwa Yakobo"
# Debora
Hili ni jina la mwanamke.
# mlezi wa Rebeka
Mlezi ni mwanamke ambaye humtunza mtoto wa mwanamke mwingine. Mlezi aliheshimika na alikuwa muhimu sana kwa familia.
# Akazikwa chini kutoka Betheli
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Walimzika chini kutoka Betheli"
# chini kutoka Betheli
Msemo "chini kutoka" unatumika kwa sababu walimzika katika eneo ambalo lilikuwa chini kwa mwinuko kuliko Betheli.
# Aloni Bakuthi.
"Jina la Aloni Bakuthi lina maana ya "Mwaloni ambapo kuna maombolezo"