sw_tn/gen/34/27.md

28 lines
643 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# maiti
"maiti ya Hamori, Shekemu na wanamume wao"
# pora mji
"waliiba kila kitu chenye thamani katika mji ule"
# kwa sababu watu wale walikuwa wamemnajisi dada yao
Shekemu pekee alimnajisi Dina, lakini wana wa Yakobo walichukulia familia yote ya Shekemu na kila mtu katika mji kuhusika na tendo hili.
# walikuwa wamemnajisi
Hii ina maana ya kwamba Shekemu alimvunjia heshima na kumuabisha sana Dina kwa kumlazimisha kulala naye.
# Wakachukua makundi yao
"wana wa Yakobo wakachukua mifugo ya watu wale"
# utajiri wao wote
"mali zao zote na fedha"
# Watoto na wake zao wote, wakawachukua
"Waliwakamata watoto wao na wake zao wote"