# maiti "maiti ya Hamori, Shekemu na wanamume wao" # pora mji "waliiba kila kitu chenye thamani katika mji ule" # kwa sababu watu wale walikuwa wamemnajisi dada yao Shekemu pekee alimnajisi Dina, lakini wana wa Yakobo walichukulia familia yote ya Shekemu na kila mtu katika mji kuhusika na tendo hili. # walikuwa wamemnajisi Hii ina maana ya kwamba Shekemu alimvunjia heshima na kumuabisha sana Dina kwa kumlazimisha kulala naye. # Wakachukua makundi yao "wana wa Yakobo wakachukua mifugo ya watu wale" # utajiri wao wote "mali zao zote na fedha" # Watoto na wake zao wote, wakawachukua "Waliwakamata watoto wao na wake zao wote"