sw_tn/gen/33/12.md

24 lines
670 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Bwana wangu anajua
Hii ni njia ya upole na maalumu ya kumhusu Esau. "Wewe, bwana wangu, unajua"
# watoto ni wadogo
Maana inaweza kuwekwa wazi zaidi. "watoto ni wadogo sana kusafiri haraka"
# Ikiwa watapelekwa kwa haraka hata siku moj
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "tukiwalazimisha kwenda haraka sana hata kwa siku moja"
# Tafadhari bwana wangu na amtangulie mtumishi wake
Hii ni njia ya upole na maalumu ya Yakobo kujitaja mwenyewe. "Bwana wangu, mimi ni mtumishi wako. Tafadhali nenda mbele yangu"
# kwa kadili ya mifugo iliyo mbele yangu
"kwa kasi ya wanyama naowatunza wanaweza kwenda"
# Seiri
Hili ni eneo lenye milima katika eneo la Edomu.