sw_tn/gen/32/24.md

24 lines
620 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mpaka alfajiri
"mpaka alfajiri"
# nyonga
"kiungo cha paja". Hii ni sehemu ambapo mfupa wa juu wa mguu unaungana na nyonga.
# Nyonga ya Yakobo ikatenguka alipokuwa akishindana naye
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Mwanamume alijeruhi nyonga ya Yakobo aliposhindana naye"
# kwani kunakucha
"jua litachomoza hivi karibuni"
# umenibariki
Hapa "umenibariki" ina maana ya kutamka baraka maalumu juu ya mtu na kusababisha mambo mazuri kutokea kwa huyo mtu.
# sitakuacha uende mpaka uwe umenibariki
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya chanya. "Haiwezekani! Lazima unibariki kwanza, ndipo nitakuacha uondoke"