sw_tn/gen/32/19.md

24 lines
526 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# akatoa maelekezo kwa kundi la pili
"akaamuru kundi la pili"
# Mnapaswa pia kusema, 'mtumwa wako Yakobo
Maana zaweza kuwa 1) "Utasema pia, 'Mtumishi wako Yakobo"' au 2) 'Utasema, "Pia, Mtumishi wako Yakobo"'.
# nitamtuliza
"Nitamtuliza" au "Nitafanya hasira yake itoweke"
# atanipokea
"atanikaribisha kwa upole"
# Hivyo zawadi zikatangulia mbele yake
Hapa "zawadi" ina maana ya watumishi kupeleka zawadi zile.
# Yeye mwenyewe akakaa
Hapa "mwenyewe" inasisitiza ya kwamba yakobo hakuwenda pamoja na watumishi wake.