# akatoa maelekezo kwa kundi la pili "akaamuru kundi la pili" # Mnapaswa pia kusema, 'mtumwa wako Yakobo Maana zaweza kuwa 1) "Utasema pia, 'Mtumishi wako Yakobo"' au 2) 'Utasema, "Pia, Mtumishi wako Yakobo"'. # nitamtuliza "Nitamtuliza" au "Nitafanya hasira yake itoweke" # atanipokea "atanikaribisha kwa upole" # Hivyo zawadi zikatangulia mbele yake Hapa "zawadi" ina maana ya watumishi kupeleka zawadi zile. # Yeye mwenyewe akakaa Hapa "mwenyewe" inasisitiza ya kwamba yakobo hakuwenda pamoja na watumishi wake.