sw_tn/gen/32/06.md

16 lines
363 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# watu mia nne
"wanamume 400"
# alipoogopa
HIi ina maana ya hisia zisizo nzuri ambazo mtu anazo pale anapopata tishio la kudhuriwa kwake au wengine.
# kutaabika
"tia wasiwasi" au "kutaabishwa"
# kambi moja, ndipo kambi nyingine itakaposalimika
Hapa "kambi" ina maana ya watu. "kuwashambulia watu katika kambi moja, kisha watu wa kambi nyingine watatoroka"