# watu mia nne "wanamume 400" # alipoogopa HIi ina maana ya hisia zisizo nzuri ambazo mtu anazo pale anapopata tishio la kudhuriwa kwake au wengine. # kutaabika "tia wasiwasi" au "kutaabishwa" # kambi moja, ndipo kambi nyingine itakaposalimika Hapa "kambi" ina maana ya watu. "kuwashambulia watu katika kambi moja, kisha watu wa kambi nyingine watatoroka"