sw_tn/gen/31/29.md

20 lines
538 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Iko katika uwezo wangu kukudhuru
Neno "kukudhuru" ni wingi na una maana ya kila mmoja aliyekuwa na Yakobo. "Nina watu wa kutosha pamoja nami kuwadhuru nyote"
# Jiadhari usimwambie Yakobo neno la heri wala shari
Maneno "heri au shari" yanatumika pamoja kumaanisha "chochote". "Usiseme chochote kujaribu kumzuia Yakobo kuondoka"
# umeondoka
Hapa "umeondoka" ni umoja na ina maana ya Yakobo.
# nyumba ya baba yako
Hapa "nyumba" ina maana ya familia. "kuwa nyumbani na baba yako na familia yako yote"
# miungu yangu
"sanamu zangu"