# Iko katika uwezo wangu kukudhuru Neno "kukudhuru" ni wingi na una maana ya kila mmoja aliyekuwa na Yakobo. "Nina watu wa kutosha pamoja nami kuwadhuru nyote" # Jiadhari usimwambie Yakobo neno la heri wala shari Maneno "heri au shari" yanatumika pamoja kumaanisha "chochote". "Usiseme chochote kujaribu kumzuia Yakobo kuondoka" # umeondoka Hapa "umeondoka" ni umoja na ina maana ya Yakobo. # nyumba ya baba yako Hapa "nyumba" ina maana ya familia. "kuwa nyumbani na baba yako na familia yako yote" # miungu yangu "sanamu zangu"