sw_tn/gen/30/16.md

20 lines
446 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kwa tunguja za mwanangu
"kwa bei ya tunguja za mwanangu"
# akashika mimba
"akawa mimba"
# na kumzalia Yakobo mwana wa tano
"na akazaa mtoto wa kiume wa tano kwa Yakobo"
# Mungu amenipa ujira wangu
Mungu kumzawadia Lea inazungumzwa kana kwamba alikuwa bosi anayelipa mshahara kwa mtu anayefanya kazi kwake. "Mungu amenipa stahiki yangu" au "Mungu amenizawadia"
# Akamwita jina lake Isakari
"Jina la Isakari lina maana ya "kuna dhawabu"