# kwa tunguja za mwanangu "kwa bei ya tunguja za mwanangu" # akashika mimba "akawa mimba" # na kumzalia Yakobo mwana wa tano "na akazaa mtoto wa kiume wa tano kwa Yakobo" # Mungu amenipa ujira wangu Mungu kumzawadia Lea inazungumzwa kana kwamba alikuwa bosi anayelipa mshahara kwa mtu anayefanya kazi kwake. "Mungu amenipa stahiki yangu" au "Mungu amenizawadia" # Akamwita jina lake Isakari "Jina la Isakari lina maana ya "kuna dhawabu"