sw_tn/gen/30/12.md

20 lines
312 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Zilpa
Hili ni jina la mtumishi wa kike wa Lea.
# akamzalia Yakobo mwana wa pili
"akazaa mtoto wa pili wakiume kwa Yakobo"
# Nina furaha!
"Jinsi nilivyobarikiwa!" au "Jinsi nilivyo na furaha!"
# mabinti
"wanawake" au "wanawake wadogo"
# akamwita jina lake Asheri
"Jina la Asheri lina maana ya "furaha"