# Zilpa Hili ni jina la mtumishi wa kike wa Lea. # akamzalia Yakobo mwana wa pili "akazaa mtoto wa pili wakiume kwa Yakobo" # Nina furaha! "Jinsi nilivyobarikiwa!" au "Jinsi nilivyo na furaha!" # mabinti "wanawake" au "wanawake wadogo" # akamwita jina lake Asheri "Jina la Asheri lina maana ya "furaha"