sw_tn/gen/30/09.md

24 lines
428 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Lea alipoona kwamba
"Lea alipopata ufahamu wa jambo hilo"
# akamchukua Zilpa, mjakazi wake, na kumpa Yakobo kama mke wake
"alimpatia Zilpa, mtumishi wake, kwa Yakobo kama mke"
# Zilpa
Hili ni jina la mtumishi wa kike wa Lea.
# akamzalia Yakobo mwana
"akazaa mtoto wa kiume kwa Yakobo"
# Hii ni bahati njema!
"Bahati gani!" au "Bahati gani hii!"
# akamwita jina lake Gadi
"Jina la Gadi lina maana ya "mwenye bahati"